ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 12, 2011

TANGAZO MUHIMU


Kwa Wanajumuiya na marafiki;
 
Napenda kuwakumbusha Fundraiser ya dada Lucky itakayo fanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 17,2011.
Mnaombwa nyote kinamama mjitolee chakula na kinababa mjitolee vinywaji. Huu ndio ustaarabu wetu na utaratibu wetu. Kila mmoja anaombwa achangie kwa upande wake.Naomba umfikishie taarifa hizi mwenziwo.
 
Tunaendelea na listi ya watakao jitolea, na tutakuwa tunatoa orodha kwa watu wote.kwa wale ambao wapo tayari kujitolea naomba watume majina yao na kile watakacho jitolea kwa Aunt Nnali,Aunty Zainab au dada Anna.
 
Ahsanteni sana kwa ushirikiano wenu.
 
Nassor Ally,Chairman
UTNC & TCLA
P.O.Box 52531
Durham,NC 27717

1 comment:

Anonymous said...

fundraiser ya kitu gani?