Wajumbe kwenye mjadala wanajadili matatizo yaliyotokea hadi ajali kutokea, hadithi za walonusurika, na hatua zinazohitajika kuepusha ajali kama hiyo kutokea tena.Kwa kwasikiliza BOFYA HAPA
2 comments:
mugo
said...
Kwanza nawapa pole wafiwa na watanzania wote tupo pamoja katika msiba huu.Mimi nilifikiri kuwa serikali hii ya ccm ingekuwa imejifunza toka katika ile ajali ya mv bukoba kule kanda ya ziwa kwa kuweka sheria na utaratibu wa kudhibiti vyombo vibovu na kujaza kupita kiasi.Na hili suala la kusubiri wazamiaji toka afrika kusini mimi haliningii akilini hata kidogo,kama tuna jeshi la wanamaji na polisi wa kikosi cha maji kwanini mpaka leo hatuna kikosi maalum cha wazamiaji iwe toka jeshi la maji au polisi?nini faida ya kuwa na jeshi la maji na polisi wa kikosi cha maji kama kuzamia majini hadi tusubiri afrika kusini?mimi naona hakuna faidi;kwahiyo vunja ilo jeshi la maji na hicho kikosi cha maji cha polisi maana wanakula mishahara mikubwa ya bure!
Pole kwa wafiwa kwani they are the ONLY ONES who feel this untolerated pain & going through a lot at this difficult times. While this was an instant "Breaking News" on all international media, nyumbani wananchi waliendelea kula bata na Miss Tanzania, Baa, Soka etc like nothing happened. Then comes "WHAT WE DO BEST" ALWAYS THERE IS A JUSTIFICATION FOR OUR BULLSHITS. Oooh meli ilikuwa imejaa sana..., dereva alikuwa anaenda kasi, mabomu yalikuwa yame expire etc. The only way to stop this is to start value every "SINGLE PRECIOUS LIFE" kwa kila mtanzania. I have been bongo now and then, and I can tell you honestly, People are very careless with life and they act like have nothing to lose. Kama wabongo tulivyo [MR KNOW EVERYTHING] It is time to stop this nonsense and start ACTING RESPONSIBLY. Otherwise, get yourself ready...because you are next.

It’s me ANGRY MAN!
Post a Comment