Picha ni Alistides Ishasi
Mwenzetu Alistides Ishasi wa West Chester, PA amefiwa na mama yake mzazi huko Dar es salaam, siku 2 zilizopita.
Msiba huko kwa dada yake Downingtown, PA. Tunaomba mchango ili ndugu hawa waweze kwenda kumzika mama yao huko Tanzania.
Simu ya mawasiliano , Alistide 4848811670, Victor 3027402844, Janeth 2672263293 asanteni
Msiba huko kwa dada yake Downingtown, PA. Tunaomba mchango ili ndugu hawa waweze kwenda kumzika mama yao huko Tanzania.
Simu ya mawasiliano , Alistide 4848811670, Victor 3027402844, Janeth 2672263293 asanteni
3 comments:
Kwanza kabisa napenda kuwapa pole wafiwa na mungu awape uvumilivu na Pia amuweke marehemu mahala Pema Peponi;
Pili ni maoni kuhusu michango; Nauli ya Bongo ni Pesa ndogo sana , na tunajuwa watu wana situation tofauti LAKINI sidhani kama ni haki mtu kuomba nauli ya kwenda kumzika mzazi wake like this; Kwani hana marafiki (Hawana Marafiki). Ingekuwa rahisi kuungana na rafiki zao huko PA na kusaidiana kuliko kuweka Tangazo kwa Dunia kama hivi;Inawadhalilisha wafiwa.
Samahani kama nimekosea
afadhali mdau umesema, mie nilikuwa nasemea pembeni tu. ni vizuri ndugu, jamaa, na marafiki wa karibu wawe wana-take care vitu kama hivi vya nauli. ni wazo zuri.
Na kweli mdau wa kwanza umesema ukweli wote. Imefika wakati tusitake ku-take advantage ya ukarimu wa Tanzania wote ikafika mahala tukaachujua mioyo ya wenzetu katika kuchangiana kwenye matukio ya misiba jama.(let us not try exploit every situation). Huku ni kujidhalilisha, ita marafiki zako wawili watatu wa karibu, I am sure they can handle this.
Mwisho, nakupa pole kwako binafsi na wafiwa wote ndugu yangu.
Post a Comment