Uwanja wa FedEX uliopo Landover Maryland ilipochezwa mechi ya mahasimu hao na Washington Redskins kuibanjua New York Giants 28-24
Mmiliki wa timu ya Redskins Daniel Snyder(shoto)akiwa kwenye picha pamoja na Waziri wa zamani mambo ya nje Marekani Collin Powel(kati) wakiwa na kamishina wa NFL,Roger Goodel kabla ya mechi hiyo iliyofungua mchezo huo wa FOOTBALL msimu huu.
Quarterback wa NY Giat Eli Manning akiwa na mpira baada ya kufunga kwa touchdow ya yadi mbili dhidi ya Redskins kwenye uwanja huo wa FedEX
Mashabiki waliojaa kushuhudia miamba hiyo ikitoana jasho huku wakiwa wameshika vibendera kwa ajili ya kukmbukumbu ya waliopata maafa ya Sept 11,2001 ambapo jana ilikua miaka 10 tangia kutokea kwa maafa hayo.
Running Back wa Redskins Tim Hightower akirukaruka kwa madaha baada ya kufunga touchdown ya yadi moja(picha kwa hisani ya Ronald Martinez/Getty Images North America)
No comments:
Post a Comment