Advertisements

Saturday, September 10, 2011

PICHA ZAIDI ZA KUZAMA KWA MELI

 Watu walionusurika kutokana na kuzama kwa meli ya Spice Islander wakijaribu kuomba msaada huku wakiwa juu ya godoro
Watu walionusurika katika kuzama kwa Meli wiakiwa juu ya magodoro wakisubiri msaada

 Moja ya Boti ziendazo kasi zikisaidia katika uokoaji
 moja ya boti zilizosaidia shughuli za uokoaji wakisaidiana chupa za maji kwa kurushiana kama inavyoonekana hapa
 Ndugu na jamaa  wakisubili kuwapokea ndugu zao walinusurika na maiti za waliopata janga hili la kuzama kwa meli
 ndugu na jamaa wengine waliangua kilio mara wakiona wapendwa wao wanapoletwa ufukweni
 watu walionusurika na masalia ya vitu kama vinavyoonekana
Watu walionusurika wakisubiri zamu yao ya kuokolewa(picha kwa hisani ya Saleh Mohammed)

No comments: