

Kulia ni Maestro King Kiki akiwa kwenye mazoezi makali na akina Lokassa ya Mbongo(shoto) na wapili toka kulia ni Maneno Uvuruge
Waliogeuka na karibu na kamere ni Andy Swebe mwenye Kofia na alienyoa Panki ni Nguma Lokito wengine kulia ni King Kiki,Maneno Uvuluge(kati) na Lokassa ya Mbongo(shoto) wakipasha kablaya Jumamosi watakavyofanya vitu vyao.
Hapa ni Maneno Uvuruge(kulia) akiwa na Lokassa ya Mbongo
Kutoka kushoto Ni Andy Swebe,Lokassa ya Mbongo na Maneno Uvuruge wakijiweka sawa kwa ajili ya kesho Jumamosi
1 comment:
Jamani ilo hall. mbona .dogo mngekuja kwangu ningewakodisha. park sijuwi itakuwaje
Post a Comment