ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 21, 2011

BRENTWOOD RESTAURANT & LOUNGE KUWAKA MOTO KESHO JUMAMOSI

 Kulia ni Maestro King Kiki akiwa kwenye mazoezi makali na akina  Lokassa ya Mbongo(shoto) na wapili toka kulia ni Maneno Uvuruge
 Waliogeuka na karibu na kamere ni Andy Swebe mwenye Kofia na alienyoa Panki ni Nguma Lokito wengine kulia ni King Kiki,Maneno Uvuluge(kati) na Lokassa ya Mbongo(shoto) wakipasha kablaya Jumamosi watakavyofanya vitu vyao.
 Hapa ni Maneno Uvuruge(kulia) akiwa na Lokassa ya Mbongo
Kutoka kushoto Ni Andy Swebe,Lokassa ya Mbongo na Maneno Uvuruge wakijiweka sawa kwa ajili ya kesho Jumamosi

1 comment:

Anonymous said...

Jamani ilo hall. mbona .dogo mngekuja kwangu ningewakodisha. park sijuwi itakuwaje