Mh.Balozi Seif Ali Idd,makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akitia saini kitabu cha wageni Ubalozini hapo.
Mh.Balozi Seif Ali Idd,makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar(kati) akipata picha ya pamoja na Naibu Balozi wa Tanzania Nchini Marekani,Mama Munanka(wapili toka kulia) wengine ni Afisa Suleiman Saleh(shoto) Mh.Balozi(wapili toka shoto) na Afisa Ubalozi Mwafongo(kulia0
Mh.Balozi Seif Ali Idd,makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar(shoto) akipata picha na Mpwa(kati) na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh.
Mh.Balozi Seif Ali Idd,makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar(kati) akipata picha ya pamoja na Mubelwa Bandio wa Changa Moto Yetu Blog(shoto) wakiwa pamoja na Fadhil Londa.
Mh.Balozi Seif Ali Idd,makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar(kati) akipata picha ya pamoja na Mubelwa Bandio wa Changa moto yetu Blog(shoto) pamoja na Abou Shatr wa Swahili Villa Blog
1 comment:
Nakuona mpwa na tabasamu la kukata na shoka
Post a Comment