Kwa; Wanandugu
Napenda kuwakumbusha nyote mkutano wa uchaguzi mkuu wa UTNC,utakao fanyika tarehe 26 November. kuanzia saa kumi na moja jioni. Nyumbani kwa Lucas na Anna katika anuani ifuatayo;1809 hunters forest drive,Winston-Salem, NC 27103.
NB;Baada ya uchaguzi, tutakuwa na fundraiser ya ndugu yetu Freddy Chagula.
Tunaomba kila mmoja wetu ajitahidi kushiriki.
Kwa atakaye shindwa kuja,anaweza akatanguliza mchango wake.
Bremer;atatuma taarifa zaidi za kufikisha michango yetu.
Nassor Ally,Chairman
UTNC & TCLA
P.O.Box 52531
Durham,NC 27717
UTNC GENERAL ELECTION OCTOBER 26,2011
Maendeleo ni haki ya wenye kuyapigania, hayaji
bila nguvu za makusudi na zenye muelekeo.
Shirikiana na wenzio kwa kuijenga jamii yako
No comments:
Post a Comment