ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 13, 2011

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI, AONANA NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB)

 Rais Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uturuki aliyemaliza kufanya kazi nchini Dr. Sander Gurbuz aliyekwenda kumuaga leo Jumanne Desemba 13, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Kikwete akiwa na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bi. Tonia Kandiero aliyemtembelea leo Jumanne Desemba 13, 2011 na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Kikwete akimkaribisha mgeni wake, mwakilishi mkazi wa Benki ya maendeleo ya Africa (AfDB), Bi Tonia Kandiero alipomtembelea Ikulu leo.
Rais Kikwete akimsindikiza mgeni wake, mwakilishi mkazi wa Benki ya maendeleo ya Africa (AfDB), Bi Tonia Kandiero baada ya kufanya nae mazungumuzo Ikulu leo.

PICHA NA IKULU

No comments: