ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 3, 2012

LOOK OF THE DAY

Emmaqulqtor Telwa From Hydrabad, India

2 comments:

Anonymous said...

Huyu mtu kwenye picha, mawasliano yake yanapatikana vipi?.
Vile vile uwe taratibu mzee na hizi "Look of The Day",(LoTD) ndani ya nyumba yangu hakuna tena amani. Mimi ni mpenzi wa hii blog, lakini ninapokutana na mambo kama haya LoTD basi moyo hunienda mbio.

Anonymous said...

Dj Luke mtuangalie na sisi wanawake, tunaomba mtupatie LOOK OF THE DAY ya WANAUME. Ombi maalum