ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 10, 2012

MISA MAALUM YA MOTHERS DAY

KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE LINAWAKARIBISHA WAKINA MAMA KINA BABA WOTE KATIKA IBADA MAALUM YA MOTHERS DAY  ITAKAYOFANYIKA JUMAPILI MAY 13,2012 SAA 7 MCHANA (1:00PM) 

MAHALI
10110 GREENBELT RD
LANHAM,MD 20706

MUDA
7MCHANA ( 1:00PM)

MTUMISHI WA MUNGU KUTOKA TANZANIA MCHUNGAJI PETER IGOGO ATAHUDUMIA, MAOMBEZI KWA WAGONJWA NA SHIDA MBALIMBALI YATAFANYWA
CHAKULA KITAKUWEPO

NJOO UJE KUPOKEA MUUJIZA WAKO NA  KUONA JINSI MUNGU ANAVYOFUNGUA VIFUNGO MBALIMBALI VILIVYOSHINDIKANA.
" KWANI YESU NI YEYE YULE JANA, LEO NA HATA MILELE"  WAEBRANIA 13:8

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU:

2 comments:

Anonymous said...

Hello DJ Luka
Mie ni Mkatoliki hapa IL, pia ni Padri wa Kanisa. Mara nyingi naona unaandika kuwa kutakuwa na Misa....Ni kanisa Katoliki, na makanisa ya Kianglican peke yao ndio wenye kufanya Misa....ngoja nielezee historia ya Misa (Mass) ina maana gani kwa wakatoliki na makanisa ya Pentekoste.


The chief act of corporate or communal worship is the Liturgy of the Eucharist. In the Eastern churches, Catholic and Orthodox, this is known as the Divine Liturgy; in the West, it is known as the Mass, an English word derived from the Latin text of the priest's dismissal of the congregation at the end of the liturgy ("Ite, missa est."). Throughout the centuries, the liturgy of the Church has taken a variety of regional and historical forms, but one thing has remained constant: The Mass has always been the central form of Catholic worship.

To many protestant church denied that the Eucharist is anything more than a memorial....For us Catholics, the same Christ who offered himself once in a bloody manner on the altar of the cross, is present and offered in an unbloody manner" in the Mass....and this is Mass (Misa).

Kaka Luka nimemua kuchangia hili sababu ya neno "Misa".....hii ni Catholics term, ambayo baadae Anglican walifuata sababu wanaamini the uwepo wa Yesu kwenye Ekaristi...kwa wenzetu wa makanisa ya Pentocost using this term siyo sahii kabisa, sababu the meaning na uamini wa Eucharist ni tofauti kabisa, napenda kuchangia tu.

Allen

Anonymous said...

Ulichosema ni kweli kabisa, mimi ni wa kanisa la Pentekoste, kila mara nikiona kina misa katika kanisa letu huwa nafikiri vibaya sana, kwetu sisi ni more Ibada kuliko Misa....