
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es Salaam jana kumjulia hali.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es Salaam jana kumjulia hali.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment