ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 20, 2012

"LINAH" KUWASHA MOTO LIVE @ NEW MAISHA CLUB

"LINAH" KUWASHA MOTO LIVE @ "NEW MAISHA CLUB " JUMAPILI USIKU AKISINDIKIZWA NA MWANA FA,AMINI,DITTO NA COUNTRY BOY...LINAH AKIWA NA LIVE BAND KWA SHOW YAKE YA KWANZA KABISA JIJINI DAR-E-SALAAM BAADA YA ZIARA YAKE YA MAREKANI ,KUANZIA SAA TATU USIKU-KIINGILIO TSH 7000 TU.

No comments: