ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 20, 2012

CHEKA UNENEPE


Mshikaji mmoja alikuwa amekaa na dingi yake, akamwona demu wake anakuja, dingi alikuwa mkali sana, ili kuua soo, mazungumzo yao yalikuwa kama hivi:
MSHIKAJI: Umekuja kuchukua kile kitabu cha speak English, my father doesn’t know?
DEMU: Yeah! Na kile cha where should I wait 4 u?
MSHIKAJI: Dah! Hicho hakipo labda kile cha wait 4 me under the coconut tree.
DEMU: Sawa, ila usisahau na kile cha I ‘m giving u 10min.
MSHIKAJI: Yeah! Nita…ta…kupa na kile cha I won’t let u down.
DINGI:Mbona vingi sana , atavisoma kweli?
MSHIKAJI: Aaaaaah! Huyu anasoma sana vitabu ndio anatuongoza darasani.
DINGI: Basi mpe na kile I’m not that much stupid na kile cha I have understood everything u spoke.

No comments: