Mshambuliaji wa kimataifa kutoka timu ya Olympic Atletico ya Burundi, Didier Kavumbagu (kulia) akikabidhiwa jezi yake namba 21 na Msemaji wa Yanga SC, Luis Sendeu (katikati) wakati akitambulishwa kwa wanahabari jana baada ya kujiunga na kikosi cha mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati Young Africans Sports Club tayari kwa kuanza kuitumikia timu yake mpya. Pichani kushoto ni mchezaji mpya wa Yanga Said Bahanuzi.(Picha kwa hisani ya GPL)
No comments:
Post a Comment