FUTARI YA PAMOJA
WASHINGTON DC
Kwaniaba ya Chama Cha Mapinduzi, Mwenyeki na Uongozi wa CCM Tawi la DMV tunawatakia waislam wote duniani Ramadhani njema.
Pia Tunawakaribisha watu wote katika futari ya pamoja
Kama ilivyo desturi tunaungana nao katika mwezi huu wa Ramadhani.
Watanzania wote mnakaribiswa katika futari hiyo ya pamoja.
SIKU: IJUMAA: AUGUST 3, 2012
WAKATI: 7.30 P.M.
ADDRESS: 10615 New Hampshire Avenue
Silver spring, MD 20903
RAMADHANI KAREEM
UONGOZI WA TAWI
6 comments:
Naona sasa ivi ndo staili kila mtu anafuturisha,je na wewe Mpwa vipi blog yako ya vijimambo inafuturisha lini?Tuwekee ratiba Mkuu.
Kuna mdau aliuliza swali,je kufuturishwa na mtu/watu wa wasio waislam,saumu inashwihi? Wataalam hamjajibu,au ndio ushabiki unazidi ibada?
wewe ulieuliza swali nenda kamulize mwalimu wako wa madrasaa sio hapa vijimambo au kamuulize shekhe wako
kazi kweli kweli! huyo hakupitia madrasa ndo maana anauliza hapa vijimambo!
We njaa inakusumbua,freedom of speech!! Sasa ukiongelea futari mbona bado ni ibada,chakula tu sio ibada,achieni wenye kujua wajibu
DJ comment yangu iko wapi? Nimemjibu Huyo anaeuliza. Jibu hili hapa hawezi kufuturusha mana niliandika maelezo ujayaweka ok basi natoa Jibu fupi HAWEZI KUFUTURISHA
Post a Comment