Mahojiano na Bwn. Amani Golugwa na Bwn. Cosmas Wambura Part 1
Hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Bwn. Amani Goligwa aliyeambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Washington DC (DMV) Bwn. Cosmas Wambura. Wamezungumzia mengi kuhusu CHADEMA kwa ngazi za Mkoa na TAWI na uhusiano unaojengwa miongoni mwao. Wajibu wa CHADEMA katika DIASPORA na mikakati iliyonayo kuhakikisha Tanzania inasonga mbele. Ujumbe wowote kwa wanaCCM? Upo. Tazama na sikiliza uupate Karibu
7 comments:
Anonymous
said...
Ukimsikiliza huyu mchungaji name mwenyekiti Wa chadema hapa DMV utagundua nia ya dhati ya kupambana name umaskini na kuiondoa Tanzania kwenye wimbi zito la sintofahamu inayofanywa na viongozi mafisadi Wa ccm.tena unaona busara walizonazo hawa watu Wa chadema ni tofautI kabisa na wale viongozi wapumbavu Wa ccm DMV waliiongea Siku kadhaa zilizopita nikimaanisha katibu mwenezi Wa ccm DMV na katibu Wa vijana, with Kama wale ni malimbukeni Wa kupindukia name hawafai kuwa viongozi,nawatakia kila LA kheri chadema mwendo mdundo.
Haya ndo mambo ya maana. Sio utoto na utapeli wa kuchanganya dini/futari na CCM. Wanaleta ufashionnista mwezi wa Ramadhani na manjano na kijani na matunda yalio chorwa CCM. Hichi nikipindi cha toba sio kujishauwa mkajishauwe makwenu sio kwa kutumia dini za watu. Kwenye futari ni pakumtukuza mungu sio CCM DJ Luke wewe usibane comment yangu.
Kwakweli wana CCM inabidi tutafute mzungumzaji mzuri hasa tunapotoa watu wakuzungumzia tawi letu kwenye media hizi e.g. Blog. Ile clip iliyopita haituwakilishi uwelewa wetu au seriousness ya kitu tunachofanya. Ukiangalia ile clip unaona kabisa ni mipasho as usual- jamani inabidi tuondokane na mipasho-maneno mengi tuingie kwenye substance na vitendo zaidi ya hapo tunaonekana business as usual. Nafikiri wengi waliliona ile kwenye ile clip iliyowekwa hapa few weeks ago. Exposure yetu ni muhimu itofautishe wale wapiga bla bla kule bongo, na sisi tuliokwisha ona kazi zikifanyika seriously kwenye ulimwengu huu ulioendelea.
Luka wewe ni chedema ?? sasa lazima mujuwe siasa inawatu wa kila aina wamipasho na wakuongea ccm dmv watakuletea video soon wale walikuwa wanaleta msg ya neno chadomo na mlipata msg hamuoni mnavyo ongea angeongea vizuri msinge angalia muhimu msg send nyie ni chadomo bwana huyu mchungaji ni tapeli tuu kama wengine ataibadilisha nchi ya tanzania kivipi badilika wewe kwanza sio mahubiri ya uongo chadomo midomo zaidi utendaji hamna
huyo cosmas ni ameshalipuliza tayari maneno yanayomtoka ya kukarii mchungaji anaubiri maneno anatudanganya hapa sio tanzania sisi hatudanganyiki kabisa na maneno tunataka matendo chadema mmefanya nini mpaka sasa tanzania ??au maneno tuu bila vitendo mimi binafsi nibora niseme ukweli ccm imeshafanya mengi kilichobaki sasa nikurekebisha palipo kosewa mchungaji usituletee siasa za bongo kwamba nyie ndiyo mtabadilisha nchi no way nyie mkiingia ndiyo mtaiba kuliko mna njaa sana mtamaliza nchi wachaga tunawajuwa kabisa na upendeleo wenu mkawadanganye wabongo wachaga no way ikulu wala msitufanye wajinga mimi naona bora ccm wachaga mmmmh!!! ccm wamejaribu tumewaona kinachotakiwa tupigane kuzuia rushwa na maendeleo yetu
Sawa kabisa mdau juu hatukuwachagua hawa ndiyo maAna wana CCM wengi tumekataa kuburuzwa. Tumejaa tunasubiri waitishe mkutano wa kuchagua viongozi utatuona na ndipo uhalali wake utajulikana na Tuanze kazi ya kukijenga hapa DMV than kuendeleza chuki na majungu.
7 comments:
Ukimsikiliza huyu mchungaji name mwenyekiti Wa chadema hapa DMV utagundua nia ya dhati ya kupambana name umaskini na kuiondoa Tanzania kwenye wimbi zito la sintofahamu inayofanywa na viongozi mafisadi Wa ccm.tena unaona busara walizonazo hawa watu Wa chadema ni tofautI kabisa na wale viongozi wapumbavu Wa ccm DMV waliiongea Siku kadhaa zilizopita nikimaanisha katibu mwenezi Wa ccm DMV na katibu Wa vijana, with Kama wale ni malimbukeni Wa kupindukia name hawafai kuwa viongozi,nawatakia kila LA kheri chadema mwendo mdundo.
Haya ndo mambo ya maana. Sio utoto na utapeli wa kuchanganya dini/futari na CCM. Wanaleta ufashionnista mwezi wa Ramadhani na manjano na kijani na matunda yalio chorwa CCM. Hichi nikipindi cha toba sio kujishauwa mkajishauwe makwenu sio kwa kutumia dini za watu. Kwenye futari ni pakumtukuza mungu sio CCM
DJ Luke wewe usibane comment yangu.
Kwakweli wana CCM inabidi tutafute mzungumzaji mzuri hasa tunapotoa watu wakuzungumzia tawi letu kwenye media hizi e.g. Blog. Ile clip iliyopita haituwakilishi uwelewa wetu au seriousness ya kitu tunachofanya. Ukiangalia ile clip unaona kabisa ni mipasho as usual- jamani inabidi tuondokane na mipasho-maneno mengi tuingie kwenye substance na vitendo zaidi ya hapo tunaonekana business as usual. Nafikiri wengi waliliona ile kwenye ile clip iliyowekwa hapa few weeks ago. Exposure yetu ni muhimu itofautishe wale wapiga bla bla kule bongo, na sisi tuliokwisha ona kazi zikifanyika seriously kwenye ulimwengu huu ulioendelea.
Luka wewe ni chedema ?? sasa lazima mujuwe siasa inawatu wa kila aina wamipasho na wakuongea ccm dmv watakuletea video soon wale walikuwa wanaleta msg ya neno chadomo na mlipata msg hamuoni mnavyo ongea angeongea vizuri msinge angalia muhimu msg send nyie ni chadomo bwana huyu mchungaji ni tapeli tuu kama wengine ataibadilisha nchi ya tanzania kivipi badilika wewe kwanza sio mahubiri ya uongo chadomo midomo zaidi utendaji hamna
huyo cosmas ni ameshalipuliza tayari maneno yanayomtoka ya kukarii mchungaji anaubiri maneno anatudanganya hapa sio tanzania sisi hatudanganyiki kabisa na maneno tunataka matendo chadema mmefanya nini mpaka sasa tanzania ??au maneno tuu bila vitendo mimi binafsi nibora niseme ukweli ccm imeshafanya mengi kilichobaki sasa nikurekebisha palipo kosewa mchungaji usituletee siasa za bongo kwamba nyie ndiyo mtabadilisha nchi no way nyie mkiingia ndiyo mtaiba kuliko mna njaa sana mtamaliza nchi wachaga tunawajuwa kabisa na upendeleo wenu mkawadanganye wabongo wachaga no way ikulu wala msitufanye wajinga mimi naona bora ccm wachaga mmmmh!!! ccm wamejaribu tumewaona kinachotakiwa tupigane kuzuia rushwa na maendeleo yetu
Unaweza kuona tofauti ya CHADEMA na CCM. Upeo wa viongozi wa CHADEMA unaonekana, wale wenzetu wengine (MAGAMBA) na interview yao inajieleza yenyewe.

Post a Comment