Friday, August 31, 2012

MWANASIASA MKONGWE HAWA NGULUME AFARIKI DUNIA


Hawa Ngulume afariki dunia Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya za Kinondoni, Mbarali na Bagamoyo, Mama Hawa Ngulume amefariki dunia leo asubuhi Jijini Dar es Salaam kwani Mama Hawa Ngulume alikuwa akisumbuliwa na kansa kwa muda mrefu.....Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina. Picha kwa hisani ya Dar Yetu

No comments: