ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 6, 2012

MKUTANO WA WAWAKILISHI WA NSSF WESTADI NA AZANIA BANK, DMV

Muakilishi wa NSSF wa bima ya WESTADI, Rehema Chuma akijiandaa katika mkutano na Wana DMV, mkutano uliofanyika Mirage Hall Jumatano Sept 5, 2012.
Rais wa Jumuiya Iddi Sandaly akiongea machache kabla hajamkaribisha Rehema Chuma
Rehema Chuma akimwaga sera na kuelezea umuhimu wa bima ya WESTADI
Mkurugenzi wa Azania Bank Charles Singili akielezea jambo kwa WanaDMV kwenye mkutano uliotayarishwa na Jumuiya ya Watanzania DMV
Twisa Mwambona (Branch Manager) akimwaga sera za Azania Bank
kutoka kushoto ni Twisa Mwambona, Jackson Lohay na Charles Singili wakifuatilia mazungumuzo ya muakilishi wa NSSF alipokua akiongea na WanaDMV.
Rehema Chuma (kulia) akiwa na Rasi wa Jumiya Iddi Sandaly (kati) na Makamu wake Raymond Abraham kwenye mkutano wa WanaDMV uliofanyika Mirage Hall.
Erhema Chuma (kati) akiwaelezea jambo Farida (kushoto) na Pius Mtalemwa.
Rehema Chuma akiongea na Benadeda ambae hivi siku za karibuni alifiwa na Mume wake Domitian Rutakyamirwa na NSSF kuusafirisha mwili wa marehemu pamoja na yeye (mke wa marehemu)kwenda Dar Es Salaam kwa mazishi,  Marehemu alikua mwanachama wa bima ya WESTADI.
Mwenyekiti wa CCM DMV Loveness Mamuya akifuatilia mkutano.
WanaDMV wakiuliza maswali na kuchukua fomu mwisho wa mkutano.
Said Mwamende katika picha ya poamoja na Omby wakifuatilia mkutano.
kwa picha zaidi bofya read more


No comments: