ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 18, 2012

MISA NA MAZISHI YA BABA YAKE SARAH LEO



Mzee Tekle Tamanu Enzi ya uhai wake
Tujumuike na Sarah misa ya kumuombea marehemu pendwa Baba yake Mzee Tekle Tamanu Leo Alhamisi Oct 18, 2012 kuanzia saa 3:00 asubuhi (9:00am) kutakua na  
150 S Street NW, 
Washington, DC 
itakayofuatiwa na mazishi katika makaburi ya Gate Of Heaven, 13801 Georgia Ave, Silver Spring, MD 20906

Kwa malezo zaidi na maelekezo piga simu
Mama Sarah 240 481 1207
Irene Milmbe 571 501 0122
Kichai 202 361 0571
Joseph Mzanila 240 388 7845

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE


Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe mwenzio

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE


Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe mwenzio

No comments: