Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi ujenzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Oman katika mtaa wa balozi jijini Muscat Oman jana. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, (wa tatu kushoto) ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh na (kulia) ni Afisa Mwandamizi Ubalozi wa Tanzania nchini Oman, Bwana Abdallah Kilima.
(Picha na Freddy Maro-IKULU)
No comments:
Post a Comment