ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 15, 2012

PITA PITA YA VIJIMAMBO NEW YORK


 Uso kwa uso vijimambo New York na Vijimambo Houston, TX Cassius Pambamaji akiwa NY katika jiji la wasilolala alipotembelea wiki hii na alipata nafasi ya kupata ukodak akiwa maeneo ya time square. Cassius pia alipata nafasi ya kushuhudia match ya kirafiki ya kimataifa kati ya timu za taifa kutoka nchi za Brazil na Colombia. Match hiyo ilifanyika katika uwanja wa MetLife New York, New Jersery. Uwanja unaotumiwa na timu za Giant na Jets timu za football za NY, Cassius alikuwa na mwenyeji wake Nyagaly Ebra.
 Hapa akipata ukodak katika sehemu maarufu sana linalojulikana kwa jina laTime quare, NY. kwa picha zaidi bovya read more
 Cassius akiwa na mwenyeji wake wakipata ukodak wa kumbukumbu kwani akiwa time square 
 New York City unaeza kupata mishikaki pia barabarani ukiwa maeneo mbali mbali  ndani ya jiji kama unavyo Cassius akisubiria mishikaki yake ikichomwa na mjeda wakitaa maeneo ya Port                          Authority.
 Wapenzi wa soccer wakiwa uwanjani hili kushuhudia mchezo kati ya Brazil na Colombia Cassius alipata nafasi ya kupata ukodak nao kabla kuingia uwanjani
 Hapa Cassius ndani ya uwanja wa MetLife akipata ukodak kabla kukaa kwenye seat
Cassius hapo anashangaa baridi inavyo mpuliza, karibu NY 
Hapa anajaribu kujitoa baridi kwa kuchezesha miko lakini wapi 
 Cassius wakiwa ndani ya uwanja pamoja na mwenyeji wake wa New York.

No comments: