Mtaalam wa Cocktail Sir Thabith
Kutoka kushoto ni mtaalam wa madikodiko na mtalaam wa kachumbari
Mtaalam wa Chapati katika tabasamu mwanana
Mtaalamu wa Mchuzi akiwa na Babu Terry
Watatu kutoka kushoto ni mtalaam wa Biriani na mama mwenye nyumba wake
Toka kushoto ni mtaalamu wa sambusa akiwa na mdogo wake
Kikundi cha kisukuma cha watanzania waishio Denmark na wadenishi walitoa burudani siku hiyo, wazungu hao wanaimba kisukuma, wanaongea kiswahili.
Juu na chini wageni waalikwa wakipata maakuli
Kutokana na ukosefu wa mahali pa kusherehekea sikukuu ya uhuru hasa kwa kipindi hiki tunachokaribia X-mass tarehe ya 9Dec. watanzania waishio Denmark walisherehekea sikukuu hiyo tarehe 1st.Dec.
Kwa picha zaidi bofya read more
Papaa, mzee wa makofia
Kama jadi ya wimbi wa Taifa ukiimbwa inabidi kusimama
Juu na chini ilikuwa Kwaito time
Wasukuma wakifanya vitu vyao
Wageni waalikwa wakifurahia ngoma ya kisukuma
Dj Dave akiwa na Mshereheshaji wa shughuli Mr.Tambwe
Huyo kijana Pombe kwake ni mwiko kabisaaaa
Lucy Komba (kushoto) akiwa na rafiki ya wake
Hapo ilikuwa ni viuno bila mfupa
Sipati picha walikuwa wanashangaa nini
Mambo ya mduara hayoo shurti kwa kanga
Hapo chachaaa...raha jipe mwenyewe
Mdada na wajina wake ndani ya mduara
Bibie akionyesha utaalamu wakukata mauno
Juu na chini ni Jaketi lililotengenezwa kwa kanga
Jaketi lililotengenezwa kwa kanga
Bw. Saidi akiwa na Dada yake Lilian
Kijana wa nyimbo za kufokafoka akifanya vitu vyake
Mr. Msimbazi, ni kati ya watanzani wa mwanzomwanzo kuingia Denmark.
1 comment:
JAMANI NITAPATA WAPI HILO JAKETI PLEASE NAOMBA INF
Post a Comment