ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 2, 2012

DENMARK WASHEREHEKEA SIKUKUU YA UHURU KWA KUPATA DINNER YA PAMOJA


 Mtaalam wa Cocktail Sir Thabith
Kutoka kushoto ni mtaalam wa madikodiko na mtalaam wa kachumbari
Mtaalam wa Chapati katika tabasamu mwanana
Mtaalamu wa Mchuzi akiwa na Babu Terry
Watatu kutoka kushoto ni mtalaam wa Biriani na mama mwenye nyumba wake
Toka kushoto ni mtaalamu wa sambusa akiwa na mdogo wake
Kikundi cha kisukuma cha watanzania waishio Denmark na wadenishi walitoa burudani siku hiyo, wazungu hao wanaimba kisukuma, wanaongea kiswahili.
Juu na chini wageni waalikwa wakipata maakuli 
Kutokana na ukosefu wa mahali pa kusherehekea sikukuu ya uhuru hasa kwa kipindi hiki tunachokaribia X-mass tarehe ya 9Dec.  watanzania waishio  Denmark walisherehekea sikukuu hiyo tarehe 1st.Dec.
Kwa picha zaidi bofya  read more

 Papaa, mzee wa makofia

 Kama jadi ya wimbi wa Taifa ukiimbwa inabidi kusimama
 Juu na chini ilikuwa Kwaito time
Wasukuma wakifanya vitu vyao


 Wageni waalikwa wakifurahia ngoma ya kisukuma
 Dj Dave akiwa na Mshereheshaji wa shughuli Mr.Tambwe
Huyo kijana Pombe kwake ni mwiko kabisaaaa
Lucy Komba (kushoto) akiwa na rafiki ya wake
Hapo ilikuwa ni viuno bila mfupa
Sipati picha walikuwa wanashangaa nini
 Warembo katika picha ya pamoja
 Mambo ya mduara hayoo shurti kwa kanga
Hapo chachaaa...raha jipe mwenyewe
 Mdada na wajina wake ndani ya mduara
 Bibie akionyesha utaalamu wakukata mauno
 Juu na chini ni Jaketi lililotengenezwa kwa kanga
Jaketi lililotengenezwa kwa kanga
Bw. Saidi akiwa na Dada yake Lilian
Kijana wa nyimbo za kufokafoka akifanya vitu vyake
Mr. Msimbazi, ni kati ya watanzani wa mwanzomwanzo kuingia Denmark. 






1 comment:

Anonymous said...

JAMANI NITAPATA WAPI HILO JAKETI PLEASE NAOMBA INF