The winner secures a place in the semifinals! Voting started on Thursday, November 15, 2012 at 4pm ET and ends on Tuesday, December 18, 2012 at 6pm ET. You can vote up to 10 times per day per account/valid email address. The contestant receiving the most eligible votes will advance to the Semifinals. Keep voting!
Watanzania wenzangu tunaomba tumpigie kura mshiriki wetu Winfrida Domenic leo Jumanne December 1, 2012 ndio mwisho wa kupiga kura muda wa mwisho wa kupiga kura ni kama ifuatavyo:
Tue 6:00 pm ET
Tue 5:00pm CT
Tue 3:00pm PT
Masharti ya upigaji kura ni kwamba mtu mmoja unaweza kupiga kura mara 10 na lazima uwe zaidi ya miaka 16 na kuendelea Taadhali mpigie kura Mtanzania mwenzetu
No comments:
Post a Comment