Advertisements

Friday, December 7, 2012

WADAU, WANAHABARI WAMJULIA HALI MWANDISHI SHAABAN MATUTU


Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima, Shaaban Matutu akiongea na waandishi wa habari na wadau mbalimbali waliofika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya kutolewa risasi kifuani aliyopigwa na Polisi nyumbani kwake Tegeta.
Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima, Shaaban Matutu akisalimiwa na wadau na waandishi mbalimbali waliofika kumjulia hali akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya kutolewa risasi kifuani aliyopigwa na Polisi nyumbani kwake Tegeta.
Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima, Shaaban Matutu akionyesha sehemu aliyojeruhiwa na risasi baada ya kujuliwa hali na na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya kutolewa risasi kifuani aliyopigwa na Polisi nyumbani kwake Tegeta.(Picha zote na Mdau Francis Dande)

No comments: