MKAZI WA MAFIATI MTAA WA MAANGA JIJINI MBEYA ALLY MSOKE AMEKUTWA AMEJINYONGA NYUMBANI KWAKE MPAKA SASA KISA CHA KUJINYONGA HAKIJAJULIKANA
MWILI WA MAREHEMU UKIWA UMELAZWA NJE YA NYUMBA YAKE
BAADHI YA WANANCHI WAKIWA KATIKA TUKIO HILO
PICHA NA KAMANGA
Mbeya yetu
1 comment:
Kaka Michuu jamani...naomba msiwe mnaweka picha za watu waliojitundika hivi jamani. They are too graphic and not everybody can take this. Thanks!
Post a Comment