ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 24, 2013

HALMASHAURI RUNGWE YAANZA KURUDISHA KWA NGUVU NYUMBA ZA SERIKALI

HALMASHAURI RUNGWE YAANZA KURUDISHA KWA NGUVU NYUMBA ZA SERIKALI KWA WALIOUZIWA NA BAADAYE WALIRUDISHIWA PESA NA WENGINE KUZIKATAA
 VYOTE VIMETOLEWA NJE
MMOJA WA WAHANGA WA KUFUKUZWA KATIKA NYUMBA ZA SERIKALI BAADA YA KUZIREJESHA 
HAPA BAADA YA KUONDOA VYOMBO VYA MPANGAJI NA KUIFUNGA NYUMA MIJAWAPO KATI YA 11 ZILIZOUZWA AWALI
ZOEZI NI GUMU SANA KUONDOA WAKAZI 11 HAPA WAFANYAKAZI WA MAJEMBE NA HALMASHAURI WAKIPUMZIKA KIDOGO NA KUENDELEA NA ZOEZI


PICHA NA ALLY KINGO RUNGWE

No comments: