Advertisements

Thursday, January 31, 2013

NAPE AITEKA KASULU


Katibu wa Halmashauri ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishangiliwa na wafuasi wa chama hicho katika mkutano uliofanyika Kasulu na kuhudhuliwa na watu kibao
Katibu wa Halmashauri ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akisalimiana na mmoja ya wa Vijana wa Kasulu aliyekuwepo kwenye mkutano wa chama hicho uliofanyika JumatanoJanuary 30, 2013.
Wafuasi wa CCM wakimsikiliza Katibu wa Halmashauri ya CCM Taifa, Nape Nnauye

No comments: