Advertisements

Wednesday, January 30, 2013

UGOMVI WA SHILLING 100 RISASI NUSURA IMTOE ROHO YAKE KIJANA WA WATU.

MKAZI wa mtaa wa Tandika,Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya maji ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa alishindwa kumlipa deni la 100 hiyo ya maji aliyo kopa kujipoza na jua kali la bongo. 

No comments: