CHEF SHABANI'S TODAY SPECIAL= CHIPS MAYAI (ZEGE) $ 8 ONLY @ KILIMANJARO
PIA ILE HAPPY HOUR KAMA KAWAIDA...WALIOFIKA JANA TUNASHUKURU SANA LEO TUNAFUNGUA KUANZIA SAA KUMI TENA HADI SAA TANO USIKU !
KARIBUNI
**KILIMANJARO NI MGAHAWA PEKEE WASHINGTON DMV UNAOFANYA HAPPY HOUR HADI JUMAPILI **
KUANZIA 4 PM- 7.30 PM-*** FRIED TILAPIA/SAMAKI $ 5
*** NYAMA CHOMA $ 6
*** 6 CHICKEN WINGS $ 4
*** CHIPS $ 1.50
*** PLANTAIN $ 1.50
VINYWAJI BARIDI
*** BEER BUCKET $ 15
*** ALL WINE $ 4
*** ALL MARTINI $ 4
*** TOP SHELF LIQUOR $ 5
NA VINGINE VINGI..HII NI HAPPY HOUR PEKEE MJI MZIMA INAYOENDA HADI JUMAPILI ALAFU BEI POA.
SWALI LOLOTE PIGA SIMU # 301-661-6207 ==2310 PRICE AVENUE, WHEATON,MD,20902
4 comments:
good job jamani mje na huku atlanta GA MJEFUNGUE KUANA WATANZANIA WENGI WATAKULA SANA GOOD IDEA TANZANIA HOYEEEEE!
Kazi nzuri sana DMK. I was there last Saturday for dinner with my wife, cousin and kids. We all love the food. We will definately be back again and again.
Kazi nzuri tujipange tuwaunge mkono! Wabongo JUUUUUUUUUUU!
Kazi nzuri sana very nice food and clean and nice atmosphere...TZ Hoyeee. Jaribu kurusha matangazo kwenye yelp.com na pia restaurant.com. Watu wa mataifa tofauti wanaopenda jaribu chakula cha kigeni wanatafuta restaurant kutumia hizo website. We want to celebrate one year anniversary next year. Wishing you a lot of success.
Post a Comment