MySafariJewelry.com ni duka jipya la mtandaoni (online store) linalouza jeweleries kutoka Afrika Mashariki kama, Earrings, Bracelet, Necklaces, Waist-Chains etc, za jinsia zote. Kwa habari zaidi tembelea www.mysafarijewelry.com au like us on www.facebook.com/ mysafarijewelry na follow us on www.twitter.com/ mysafarijewelry
Jinsi ya kulipia na kupata mzigo
Kwa ajili ya kuakikisha usalama wa credit-cards za wateja, MySafariJewelry.com linatumia PayPal kama njia ya malipo. Kupitia PayPal, MySafariJewelry.com inakubali major credit-cards kama VISA, MASTERCARDS etc. Tafadhali fahamu kwamba sio lazima uwe na account na PayPal ili uweze kufanya malipo.
Pindi baada ya malipo, utatumiwa mzigo wako kupitia USPS/UPS.
*note: Kwa sasa MySafariJewelry.com haisafirishi mzigo nje ya nchi ya Marekani"
No comments:
Post a Comment