CCM DMV from Luke Joe on Vimeo.
Video ya Uchaguzi wa CCM DMV na mahojiano ya Mjumbe wa kamati ya uchaguzi Baraka Daudi akiwemo aliyekua Mwenyekiti wa muda Lovenes Mamuya
Hivyo huyo anaesema kuna raia mmarekani mbona hajamtaja jina?!!au hana uhakika anatafuta maneno na vurugu zisizokuwa na maana?!!na lazima awe na uhakika kabla ya kuanza kubwatuka na kama wewe ni CCM mbona hukugombea?na kama sio kina kuuma nini?jamani ishi maisha yako wacha fitina.
nyinyi vijana kasomeni katiba ya chama,maadamu una wanachama 10+1 unafanya uchaguzi wa tawi,5+1 unafanya uchaguzi wa shina. acha kubwabwaja kitu ambacho hukijui,kuhusu uraia wa nchi mbili katiba ya chama inasema wazi maadamu wazazi wako ni watanzania na wewe ni mtanzania unaweza kugombea uongozi katika ngazi zote za chama. ijue katiba ya chama kabla hujakurupuka kuandika,acha ushabiki. wewe kama kweli mkereketwa wa chama ulitakiwa kujua katiba kwanza,sio ufitini na majungu yenu ambayo hayana msingi wowote wa kujenga.
8 comments:
Why the bodyguards??
mi naomba kuuliza mbona hapa kuna wagombea wengine ni raia wa marekani sasa je katiba gani ya chama hiyo?
As long ni mtanzania,katiba ya chama haimzuii mtu kugombea. Acha ushamba wewe,hujui katiba ya chama. Nyinyi ndio mamluki mlijitoa.
kwa hiyo CCM Inajumla ya wanachama 33 in MVV?!!!
Ni vizuri usalama tatizo ni nini pesa ipo ccm chama kubwa watu wanapenda wanachama wanakipeda asante Abdallah kwa kusaidia chama dume
Viongozi hawaongozi tanzania wanaongoza only dmv so what is your problem

Post a Comment