Email address:ccmwashdc@gmail.com
TANGAZO LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CCM TAWI LA DMV
Wanachama wa CCM DMV mnaombwa kuhudhuria
mkutano mkuu wa kuchagua viongozi wa CCM katika Tawi La DMV utakaofanyika:
MUDA: SAA 9
JIONI (3pm) Tafadhali zingatia
muda.
MAHALI: TUTAWATANGAZIA
Ili
uweze kupiga kura hakikisha una kadi yako ya Chama na uwe mwanachama hai, na
kama huna kadi au umepoteza tafadhali wasiliana na Katibu wa Tawi Ndugu
Faraja Isingo,
Simu ( 301-592-7581)
Nafasi zitakazogombaniwa ni :
1)
Mwenyekiti wa tawi
2) Katibu wa Tawi
3) Katibu wa Itikadi,
Siasa na Uenezi wa Tawi
4) Katibu wa Fedha na
Uchumi wa tawi
5) Mwenyekiti wa Umoja
wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
6) Katibu wa Umoja wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
7) Mwenyekiti
Umoja wa Wanawake (UWT)
8) Katibu wa Umoja wa
Wanawake ya Tawi (UWT)
9) Mwenyekiti Umoja wa
Wazazi wa Tawi
10) Katibu wa Umoja wa
Wazazi ya Tawi
11) Wajumbe 10 wa halmashauri ya Tawi
SIFA ZA MGOMBEA:
1.
Awe
na umri kuanzia miaka 18
2.
Awe
mwachama hai wa CCM mwenye kadi
Fomu za kugombania nafasi za
uchaguzi ziwakilishwe kwa MwenyeKiti wa Kamati ya Uchaguzi (HIDAYA MAHITA) na zikiambatanishwa na
kopi ya kadi ya uanachama kwa njia ifuatayo:
Fax: 1(888)835-5784 Email: ccmwashdc@gmail.com
Mailing address: 1709 HAMPSHIRE GREEN LANE#33 SILVER SPRING
MD 20903
MWISHO WA
KUCHUKUA NA KURUDISHA FOMU HIZO NI
TAREHE 8 MARCH 2013
Kushiriki
kwako bila kukosa ndio kufanikisha Uchaguzi huu.
Umoja ni
Ushindi
Kidumu chama
cha Mapinduzi
Kwa fomu Bofya Read more
No comments:
Post a Comment