Wakati akitangazwa mshindi, alikua kapiga Tshirt yake ya njano, kofia na hereni pia kama kawaida… halafu kwenye mkono akatupia pete kadhaa za gold pamoja na saa kubwa mkono wa kushoto.
Sonko ameshinda kwa kupata kura zaidi ya laki nane wakati mpinzani wake Wanjiru aliepata kura laki tano.
No comments:
Post a Comment