Ujenzi wa Kituo Cha Mabasi yaendayo kasi katika kituo cha Magomeni kikiwa tayari kishaanza kujengwa na kampuni iliyopewa kazi ya kutengeneza barabara ya Strabag. Kituo hiki ni kimoja ya Vituo vitakavyotumika kwaajili ya mabasi yaendayo kwa kasi hapa nchini hususani katika jiji la Dar Es Salaam. Picha kwa hisani ya (Lukaza blog)
No comments:
Post a Comment