Vurugu kubwa zimezuka katika mkutano wa hadhara baina ya mkuu wa wilaya ya Bahi mkoani Dodoma Bety Mkwasa na wakazi wa kata ya Msisi iliyoko wilayani humo kufuatia serikali ya wilaya hiyo kupiga marufuku shughuli za waganga wa kienyeji maarufu kama "Lambalamba" ambapo wananchi wamesema lazima waganga hao wafanye kazi katika kata hiyo hata kama damu itamwagika .
1 comment:
Anonymous
said...
Nakufagilia Betty Mkwasa. Ifike wakati tuachane na imani potofu za uchawi.
1 comment:
Nakufagilia Betty Mkwasa. Ifike wakati tuachane na imani potofu za uchawi.
Post a Comment