Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha ng’ombe wafugaji wa Kabila la Wamasai waliomtembelea katika shamba lake la mifugo kijijini Kwake Msoga,Kata ya Chalinze,wilayani Bagamoyo jana (Jumapili) Picha na Freddy Maro).
Wakiendelea kukagua mifugo hiyo.
Wakizungumz machache kupeana uzoefu wa ufugaji.
No comments:
Post a Comment