Serikali na jamii imetakiwa kuwapa watoto wa kike kipaumbele katika elimu ili taifa liweze kuwa na wanawake wengi zaidi wasomi ambao wataweza kupata fursa za kushika nafasi mbalimbali za uongozi huku wanawake wakitakiwa kutokuwa waoga badala yake wathubutu.
No comments:
Post a Comment