Advertisements

Sunday, April 7, 2013

BABY SHOWER YA REHEMA SARMETT, COLLEGE PARK, DMV

Rehema na mumewe wakiingia ukumbini kwenye Baby shower yake iliyofanyika Jumamosi April 6, 2013 College Park, Maryland
 Rehema na mumewe wakiwa wameketi kwenye baby shower yake iliyofanyika College Park, Maryland Jumamosi April 6, 2013.
Rehema na mumewe wakipakua chakula kwenye baby shower yake iliyofanyika Jumamosi April 6, 2013 College Park, Maryland.
Rehema, mumewe na watoto wao wakikata keki
Rehema akilishwa keki na mumewe
Rehema akimlisha keki mumewe

Rehema na mumewe wakichumiana baada ya kulishana keki
Rehema akimlisha keki mwanae 
Rehema akimlisha keki mwanae
Mshereheshaji, Tuma akiwajibika
kwa picha zaidi bofya read more

No comments: