ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 21, 2013

"HAKUNA MWANAMKE KWENDA KWENYE SHOW YA DIAMOND HUKO LONDON"......MANGE KIMAMBI


Baada ya Diamond kusambaza clip ambayo inasikika Wema Akiongea nae ambayo Diamond Amesema kuwa Wema Alikuwa anajitongozesha...Mange Kimambi Ametoa Wito kwa wanawake wote walioko London Kutokwenda show ya Diamond akienda kufanya Show huko kwa vile alimzalilisha mwanamke mwanzao....
"Alafu bado utaona kunamijanamke huko London itavaa kabisa nguo na kujipaka ma makeup kwenye kumkatia Diamond viuno kwenye show... Ladies lets stand together...
tutadhalilishwa mpaka lini na hawa watu.....


Embu tuonyeshe mfano hapa......HAKUNA MWANAMKE KWENDA KWENYE SHOW YA DIAMOND HUKO LONDON..

ATAKAE KWENDA NTUMIENI PICHA YAKE HUMU TUMJUE.......ILA GUYS Seriously huyu jamaa kavuka mipaka tumfanye mfano kwa wenzie" Mange Kimambi

28 comments:

stella mkenya said...

ps dj luke huyu mange anamtaka pia diamond kama diamond kamzalilisha wema wewe kinakuuma nini si kaambiwa ukweli muone eti akuna mwanamke kwenda kwenye shoo yake london ... sisi ni wazalendo na tunakwenda wewe nani mwangalie tena usiandike huu upuuzi wako kama unamtaka na wewe kuwa katika orodha msonyooooooo...

Anonymous said...

wewe hebu acha unafiki na kutaka kubadilisha maneno!! hiyo sehemu ya mwisho mbona ume edit, Mange kasema atakae kwenda leteni picha tumuanike then akasema kua anatania. Unafkiri hatujaiona hiyo post! Muacheni mwanamke wa watu naye anaongea anayofkiria kama mtu mwingine yoyote yule tena afadhali yeye hajamtutulia mitusi mizito kama watu wengine wote! Kaahh!!!

Anonymous said...

Kweli alichofanya sio kizur kajitu kenyewe kabaya na lile domo kama choo umaarufu wenyewe wadawa

Anonymous said...

Your emotional feelings do not represent the way others feel. We may agree that Diamond crossed the line and there may be appropriate ways to correct him, but what if all men choose to boycott female artist's show simply because she misbehaves the same way the other way arround? What message will be sent to our children? If you and your household feel not to go it's fine, no one is forcing you to go, anyway. But who are you stop all women from going and demand pictures of those who will? This is a free society. You have the right to your own opinion, but not everybody else's.I believe you are not a saint. You had your own mistakes and people have forgiven you, at some point. The same applies to everybody else, including Diamond and Wema. If you want to advocate women's right, it would carry more weight if you start whith those poor voiceless who are killed, severely wounded, and victims of domestic violence perpetrated by men. It is okay if you have your personal issues with Diamond, but it does'nt make sense if you trascend them to others. History will judge us from what we have constructed, and not what we have destroyed.

Anonymous said...

Jeez! She was joking. Wabongo bwana Ofcourse she can't control your actions so why are taking it so seriously?? There are more important issues to discuss than this!

Anonymous said...

Huyu aliyeandika hii article ni hater wa diamond. What is his relationship got to do with us? Kwani hao wamama anaowadate ni watoto ambao they cant make their own intelligent decision? All will go to his shows na picha utaziona magazetini....hater!!!!!

Anonymous said...

mimi kama mwanamke ukweli hiyo love triangle Diamond, Wema na Penny yote ina makosa tuanze kwa Diamond kama umeachana na mwanamke muache kiukweli sio leo unarudi kesho unamwambia nina mpenzi mwingine uansend wrong message kwa Wema umemove on ondoka usigeuke nyuma umeshamuacha usijifanye unamuonea huruma na maumivu yake uliyompa ungemtaka ungekaa naye bila kumpa maumivu ya roho usijifanye baba huruma halafu Penny kakukoromea unamgeuka Wema na kumrekodi kwenye simu mpaka afikie kukupigia simu inamaana ulimwambia nakupenda Wema halafu unamgeuka grow up Diaomond. kwa Wema tipiko wanawake wa kibongo kungangania wanaume ataambiwa nimekuacha atabembeleza mpaka atatuma na washenga muwe mnaelewa wadada msilazimishe penzi amekuacha inauuuuma saaaana dili na maumivu hiyo inaitwa heart broken maumivu yake yaweza chukua mwaka mzima au zaidi good news ni kwamba yatapoa mwisho wa siku utapenda tena jamaa mwingine na utakua na furaha kwenye penzi pengine kushinda la Diomond kurudi rudi kwa Diamond na kungangania ni kujiongezea maumivu rohoni, na hata Diamond akikurudia mapenzi hayatakua kama yale ya mwanzo yameshaingia dosari na hayatakua matamu tena utaumia roho ya nini kujiumiza roho mbona wanaume wapo utampata mnayependana kwa asilimia sawa. wadada wenzangu acheni kujinganganiza kuna shoga yangu mmoja alimganda jamaa mpaka jamaa kaanza na vikao vya harusi mdada bado hajakata tamaa kubembeleza mara anataka kujibebesha mimba jamaa naye machale yakamcheza akatokomea akaoa hakurudi kwa bishosti duuuuh bishosti aliumia saana lakini mungu mkubwa alipata mpenzi wake wanapendana kiukweli anafuraha huyo wanapendana ukimkumbusha ile story anasema siamini kama ilikua ni mimi hapendi hata kuisikia anasema ilikua ni ujinga. Nikimalizia na Penny tipiko wanawake wa bongo akiona bwana anagombewa na kila mtu anajipachika mimba anafikiri kamuwini kila wanaomgusa anasema nimezaa naye atahamia kwa Diamond atalazimisha na ndoa hapo alipo Penny yeye ndio anayejipendekeza kubembeleza bwana inakua sio mapenzi tena bali kujilazimishia hata ukisikia Diamond amefumwa na Iren Uwoya hawezi kusema kitu Penny hilo sio penzi hiyo ni fekeroo na mpaka Diaomond analala na Uwoya inamaana hata wewe anakushikia mimba tu ungekua huna mimba angeshatimka vilevile kifupi hauko moyoni mwake. wanawake haya mapenzi uzembe mnayatengeneza wenyewe halafu mnalaumu wanaume wabaya hamtaki kuukubali ukweli nimeachwa mnaogopa utachekwa na wenzako na nyie wanawake muache kuchekana mwenzenu anapoachwa mmepeane moyo

Anonymous said...

ugomvi wa mapenzi usiingilie wakielewana utabaki na aibu

Anonymous said...

NARCISSISTIC PERSONALITY DISORDER
-Believing that you're better than others
-Fantasizing about power, success and attractiveness
-Exaggerating your achievements or talents
-Expecting constant praise and admiration
-Believing that you're special and acting accordingly
-Failing to recognize other people's emotions and feelings
-Expecting others to go along with your ideas and plans
-Taking advantage of others
Expressing disdain for those you feel are inferior
-Being jealous of others
-Believing that others are jealous of you
-Trouble keeping healthy relationships
-Setting unrealistic goals
-Being easily hurt and rejected
-Having a fragile self-esteem
-Appearing as tough-minded or unemotional

Anonymous said...

kwa kweli hata mimi nimetokea kumchukia ghafla Diamond! Ingawa Mange kimambi alikuwa anatania, bt kuna ukweli ndani yake! Diamond kamdhalilisha sana Wema! ina maana anaweza kumdhalilisha mwanamke yeyote Duniani! Diamond kajimaliza mwenyewe!

Anonymous said...

Ni kweli mdau, kuna vipengele katoa kwenye hiyo post. Kwanini umeedit? Copy kitu kama kilivyo na uache unafiki. Au leo umekosa kitu cha kupost? Mange alimalizia kwa kusema ametania...

Anonymous said...

umemuweka mada ya kicheche wa miami tutatosha humu kweli? tutakomaje na hao wafuasi wake leo

Anonymous said...

Huo ni mfano tosha kwa wanawake ving'ang'anizi, kama umeshaachwa kwa nini hutulii ukatafuta mwingine? na umeshaona ana mtu mwengine bado unapiga simu tena usiku! na bado mnaopenda kupigia wanaume za watu simu mjichunge
somo hiloo. na wewe Mange Kimambi au na unataka million 13?

Anonymous said...

wewe unaembeza Diamond weka picha yako tukuone, nyie mnaobeza wenzenu kumbukeni kazaliwa na mwanamke hakuna mtu anayependa kuzaliwa kilema.
Dj Luke wewe ni muelewa na mtu mzima, Diamond anaweza kuwa kama mwanao, ungejisakiaje kama mwanao anadhalilishwa maumbile yake? sidhani kama ni busara kupublish comments za kukosoana maumbile ambayo ndiyo alivyozaliwa.
Mdau Mstaarabu.

Anonymous said...

Mange, mie kwenye show ya diamond nitaenda na picha nitapiga beneti na almasi na nitakutumia me mwenyewe!

Anonymous said...

DJ Luka na wewe umeanza umbea lina umeanza kuweka post kama hizi?? unaanza kujipunguzia heshima yako mzee. hiziii post za kimbea waachie wenyewe wambea!! wewe inakuhusu nini sasa kutuletea humu tusome? najua hutaiweka hiii ila itaisoma kimya kimya. asante god bless.

Anonymous said...

This is so funny, may be tragic, we all that these two clowns leave for this, this wasn't the first time and for sure it won't be the last. We all remember what he did to her in that show Diamonds are Forever at Mlimani City, and this broad Mange was with Wema that night, may be she will learn after this. And for some women in this forum saying Diamond is ugly and what not, they know for a fact when this dude gets them alone, my man will close the deal for sure. So stop being naive

Anonymous said...

dj luke safi sana wewe kweli mhariri mahiri nimependa hii story ya udaku japo kuwa mimi si mdaku ila ninacho omba bwana mdogo tuwekee hiyo clip ya maneno aliyo rekodiwa wema anayo sema

pole sana wema you are a cute girl you dont have to go down like this girl for really,you are educated more than this dude why do you be little yourself sweetheart wema

najua mapenzi hayachagui wala haya bagui lakin anaye kuumiza na asiye kupa raha ya moyo wako ukatuwa na anayekudangaya kila siku na kuku take for granted nasema siye wakumshikilia sana na wewe mpuuze jaribu my dear utaweza jaribu jaribu wema utaweza dear wewe uko juu hakuna mbona msanii anayejua kusema kiswangilish kama wewe tena fasah bila kubabaisha thats a plus dear jaribu dear utaweza

na toka hapo bongo njoo huku majuu huko waswahili wanga sana achana nao na uki mdate mtu ambaye hana shule matokeo yake ndo haya

na kua advice wema please achana na bongo au kama unapenda sana bongo usiwe na marafiki wakinafiki na wapenzi mchwara mchwaraa you can fall in love with a nice dude not this kind please dear

mwana psychologia wa kiTANZANZIA aliye NY

Anonymous said...

LUKE TUWEKE HII CLIP ALIYO REKODIWA WEMA

MASIKINI WEMA KWANINI UNAJIZALILISHA MAMA KWA JAMAA MUONGO FISADI KAMA HUYU

WANAWAKE U.K MSIENDE KWELI KWENYE SHOW YA JAMAA HUYU MPUUZI MZALILISHAJI WA WANAWAKE ANAJIONA CUTE KUMBE PAKACHA LA UTOMVUUU

DIAMOND TUMESHAKUCHOKA NENDA NA IRE UYOWEEE NDO SAIZI YAKO NA PENNY MASIKINI YA MUNGU MIMBA UMEIPATA LAKIN PENZI LATAPAKAA POLE POLE UNGEJIFUNZA KAMA WEMA MWENZIO JAPO KUWA ANA JERAHA LA MOYO LAKINI HAJAKUWA MJINGA HIVYO KUDUNGWA MIMBA

Anonymous said...

dj luke tuweke hiyo clip ya aliyoyasema wema aliyorekodiwa na fisadi huyu diamond please mkuuu

Anonymous said...

safi sana ushauri wa bure anaotaka achukuwe asiyo utaka awache lakini kwa jamii ya wanawake wote duniani kote jamaa anaye zalilisha mwanamke au mwanamke na yeye kazaliwa na mwanamke anahitaji kufundishwa somo msiende kwenye show yake na hapa marekani katujia kajifanya expensive kawapata wajinga wao wa D.C huku NY kapata koma tuna msimamo bwana akija na vijimambo ya kijinga jinga tuna mtoa nishai

si pesa zetu ndo zina mfanya awe hivyo unatarajia nini kwa kijana wa manzese

wanawake msijizalilishe kwa penzi na vijipesa vya hapa na pale mnavyo hongwa somo someni jamani

msiwe cheap wanawake

na akija NY tuna mgomea nilikuwa napenda sana jamaa huyu kwa nyimbo zake lakini kumbe mahoka limbukeni wa kiswahli wa manzese

mchafu kogee

Anonymous said...

funzo kwa wanawake mnaojipendekeza kwa wanaume walio nacho na wasiokupendeni hivi wanaume wamekwisha hivi anasahau aliye kuumbeni mola wenu, kwani ukimkosa yeye ndo anayekupa maisha na pumzi za kuvuta acheni hizo muwe makini na wanaume wa design kama ya diamond na tena wako wengi vizuri vyote si dhahabu na tena angaliyeni logo yake

anajiita mfalme wa wasafi someni jamani mjuwe mwanamme wa aina gani mna mdate siyo kipara moto akakuwakia ukaona penzi balaa

Anonymous said...

Mungu aliumba dunia akauomba viumbe tafauti na ndo huyo huyo mungu ndo mpaji na mtoaji so ukimkosa bwana mmoja yapo mia mmoja wanakupenda usinganganiye achana naya ona sasa anakuzalilisha na anamzalilisha pia aliye mpa mimba hana mapenzi ya kweli pesa ina mzuzuwa so wanawake wa U.K MSIENDE KWELI KWENYE SHOW YAKE NA KUMKATIKIA MJINGA HUYU MNAJIZALILISHA BURE NA ANAKUONENI MNAJIKOMBA KWAKE

Anonymous said...

unadhani wanawake wote hawatokwenda hawana ummoja na hao hao ndo wanamtaka diamond watajipeleka mkiwa na umoja wanawake wanaume hawatokuchezeeni mkijiregeza kila siku na ujinga kichwani mtachezewa kila siku kama mpira wa kiume

kwanza mungu anakupendeni sana wanawake ngejua jinsi wanaume walioa makini na walio somoa wanavyo jua samani yenu msingejirahisisha kabisa

wanaume ndo wamekufisidini ndo maana mko hivyo wanaume wanajua mmewazidi akili na mko strong ndo maana wanajaribu kukuzalilisheni kila leo

just imagine a strong lady anaye pesa yake, elimu yake sema hana mume wala mwanamme unadhani kwa nini inatokea hivi kwa sababu mwanamme anajua fika hawezi kuchezesha kibiriti ngoma mwanamke kama huyu kwa sababu kila kitu anacho utamwabia nini

Anonymous said...

wanawake muwe kitu kimoja mpendane muoneane huruma msaidiyeani na muwe na mambo yenu hakuna hata siku mmoja ukiwa katika hali kama hii mwamme atakuchezeeni lakini mkiwa mnategana na kuoneana wivu akiachwa jamaa mimi nitaingia kwake na majungu na umbeya basi daima mta zalilishwa na wanaume

ushauri wa bure kutoka kwa mtaanzania mwana psychologia NY

Anonymous said...

ebwana eeh udaku udaku huu tumwagia vitu dj luke tuwekee clip ya maneno ya wema aliyokuwa anamtongoza jamaa

si unajua siku hizi wanawake nao wanatongoza ha ha ha nimependa sana hii nitamwambia my girl aende kwenye show yake huko u.k ha ha ha

Anonymous said...

Lol..hii Kali ,Lakini on top of it,I can't stand Diamond anymore,ujinga umemzidi, he need to Go back to school,Hay by the way,sijawahi kumuona Wema au Diamond face to face..Lakini naona Huyu Wema sasa atajiuwa bure kwa Huyu bwana asiejuwa mapenzi..

Anonymous said...

Wewe mtoa maoni unayeshangaa kuwa Wema kutokuandika kiingereza vizuri, kwani ni ajabu? kuna wanaongea kiswahili na kuandika hawajui, watu mna mambo eti wemaaa wemaaa who is wema hata asikosee kuandika!
Kwanza alitumwa apige simu? nyie mnaomtetea wema ndio nyie nyie tabia zenu zipo kama za wema, kuvizia waume za watu. sasa kakomolewa. Diamond ni juzi tu hapa kashikwa na kasheshe kaongea na mpenzi na wake yamekisha leo tena huyo wema anapiga simu usiku. Kama wewe ni mwanamke unajisikiaje kumuona mumeo/mchumba wako anapigiwa simu usiku tena na mwanamke ambaye ni x-girlfriend wake?