Advertisements

Monday, April 8, 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWASILI DODOMA KUHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE.

IMG_1480
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana  na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rehema Nchimbi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 8,2013 kuhudhuria kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza Aprili 9. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: