If you wanna be treated like an African king act like an African king, meaning pay all the bills! Wote tunaenda kazini halafu unataka nikuwekee chakula mezani kila siku, seriously! Hayo siyo mapenzi ni utumwa.
ila wanaume wa kitanzania wakishakuja marekani wanakuwa dependent sana, wanataka free ride sana hawajishughulishi ile ya kusema ku-take care familia. ila wanawake nao wanakuwa wa-sharp hadi wanapitiliza
NIMECHEKA MPAKA NIMETOLEWA DARASANI HIVI WEWE VIJIMAMBO UMEMTOA WAPI HUYO DADA MZURI HIVYO NA ANAONGEA POINT BALAAA ANANIFURAHISHA SANA. UMENIFANYA NIWE ADDICTED NA VIJIMAMBO JNNE. MPE HONGERA SANA HUYO DADA NA KWA USHAURI TU HUYO BENJA MWAMBIE AWE ANAWAACHIA WENZIE WATOE POINT ANAONGEA NA JAZBA SANA ILA OTHERWISE SHOW IKO BAB KUBWA MANYOKA AMENITOA MACHOZI KWA KUCHEKA.. MAKE SURE U KEEP THE LADYS ON YOUR SHOW IMEKUWA NZURI SANA. KEEP IT UP...# tuko pamoja
Yaani nahisi ndugu zangu kuna mambo mengi Benjamin hajayawekA sawa mwanamke anachit kwa mambo mengi mfano mzuri ni mi mwenyewe nililetwa marekani na mpenzi wangu mwanzoni mambo yalikuwa safi baada ya Miezi miwili mwanzangu alibadirika anakunywa tuh pombe kitandani hajiwezi akifanya bao Moja basi ndo kalala, mwanaume anagubu anaongea utafikiri mashangingi ya Uwanja wa fisi Kila baada ya dk Kama hajakutukana basi anatukana wazaz wako akanifnya nice mmyonge akiw a kwa wat kutwa kujisifia ananipenda badae nikaona shida nin Waikato mie naweza pata mtu mwingine nikaenjoy
hahahahaha basi kakuleta marekani ndo kila siku umpikie chapati na urojo tuuuu, umeamua kuja marekani babu kamata burger kama wenzio kama ulikipenda sana kisamvu na dagaa rudi bongo mxiiiii
akina dada mmenena. akina kaka wa kibongo majuu wanapenda sana mteremko kha! yuko radhi ahonge hela zake nyumba ndogo halafu kwako aje atake kutumia bank card yako. halafu akiwa hana hela anajifanya mapenzi moto moto ili ale bure. me i have decided to stay na wa-west at least ananilipia hata car note.
wazo na mpango mzima wa hiki kipindi ni mzuri,ila mpangilio katika kuongea ungekinogesha sana..kifanyie marekebisho kidogo ili kiimarike na uswahili upungue...
Bravo kijiwe!!!!! Kazi nzuri sana,topic nzuri.dada Eliza na Salma kazi nzuri mmearticulate vizuri sana hiyo topic.Nawapongeza sana.Kaka Benja na Randi,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Leo kina dada wamewaliza.
Kucheat ni kitu cha kawaida, mradi unatunza na kuheshimu ndoa yako na usishikwe, sote ni binadamu unachoka kula wali kila siku, changing of menu ni muhimu, cheating inapunguza stress pia
katika vijimambo ughaibuni zote nilizoziona hii ya funga mwaka imenikosha ile mbaya na imenipepea kama upepo wa ac unavyotoka kunyejua kali ukaingia ndani mwako ukaburudika.
kina ben wamezoea sana kuwasema wakina mama safari hii wamekiona cha moto wakina mama oyeeee nimefurahi sana wakina mama hawa waliojitokeza na kusema kweli
14 comments:
If you wanna be treated like an African king act like an African king, meaning pay all the bills!
Wote tunaenda kazini halafu unataka nikuwekee chakula mezani kila siku, seriously! Hayo siyo mapenzi ni utumwa.
ila wanaume wa kitanzania wakishakuja marekani wanakuwa dependent sana, wanataka free ride sana hawajishughulishi ile ya kusema ku-take care familia. ila wanawake nao wanakuwa wa-sharp hadi wanapitiliza
cheating inasaidia kutoa stress. unakuwa huumii roho. mie maisha yangu yote ya ndoa nina ki-sadolin changu pembeni na nitaendelea ku-cheat
NIMECHEKA MPAKA NIMETOLEWA DARASANI HIVI WEWE VIJIMAMBO UMEMTOA WAPI HUYO DADA MZURI HIVYO NA ANAONGEA POINT BALAAA ANANIFURAHISHA SANA. UMENIFANYA NIWE ADDICTED NA VIJIMAMBO JNNE. MPE HONGERA SANA HUYO DADA NA KWA USHAURI TU HUYO BENJA MWAMBIE AWE ANAWAACHIA WENZIE WATOE POINT ANAONGEA NA JAZBA SANA ILA OTHERWISE SHOW IKO BAB KUBWA MANYOKA AMENITOA MACHOZI KWA KUCHEKA.. MAKE SURE U KEEP THE LADYS ON YOUR SHOW IMEKUWA NZURI SANA. KEEP IT UP...# tuko pamoja
Leo nimecheka sana Benja kazidiwa naona ameegemea kiti kwii kwii kwii mi naipenda sana hii VIJIMAMBO ya wiki hii bomba
Yaani nahisi ndugu zangu kuna mambo mengi Benjamin hajayawekA sawa mwanamke anachit kwa mambo mengi mfano mzuri ni mi mwenyewe nililetwa marekani na mpenzi wangu mwanzoni mambo yalikuwa safi baada ya Miezi miwili mwanzangu alibadirika anakunywa tuh pombe kitandani hajiwezi akifanya bao Moja basi ndo kalala, mwanaume anagubu anaongea utafikiri mashangingi ya Uwanja wa fisi Kila baada ya dk Kama hajakutukana basi anatukana wazaz wako akanifnya nice mmyonge akiw a kwa wat kutwa kujisifia ananipenda badae nikaona shida nin Waikato mie naweza pata mtu mwingine nikaenjoy
hahahahaha basi kakuleta marekani ndo kila siku umpikie chapati na urojo tuuuu, umeamua kuja marekani babu kamata burger kama wenzio kama ulikipenda sana kisamvu na dagaa rudi bongo mxiiiii
akina dada mmenena. akina kaka wa kibongo majuu wanapenda sana mteremko kha! yuko radhi ahonge hela zake nyumba ndogo halafu kwako aje atake kutumia bank card yako. halafu akiwa hana hela anajifanya mapenzi moto moto ili ale bure. me i have decided to stay na wa-west at least ananilipia hata car note.
lol tumeoana, hiyo baab kubwa
wazo na mpango mzima wa hiki kipindi ni mzuri,ila mpangilio katika kuongea ungekinogesha sana..kifanyie marekebisho kidogo ili kiimarike na uswahili upungue...
Hahaha, hii kwa kweli ni nzuri but kwa uono wangu wanawake wamesema ukweli. tunaonea wanawake lakini wanaume wanawazidi or Wote wanaiba

Post a Comment