Saturday, May 25, 2013

NENO LA BWANA KUTOKA KWA MCHUNGAJI MWAGASEGE LA WATOA MACHOZI

Picha ya juu na chini ni Mchungaji Christopher Mwakasege na  watu waliohudhuria kwenye  mkutano unaondelea katika mjini Minneapolis wakiomba kwa pamoja hadi kusababisha watu kuanguka na kulia kuashiria neno la Bwana kutoka kufanya kazi yake.
Kwa picha zaidi bofya read more.



2 comments:

Anonymous said...

mhh aliwatisha nini mbona wote wanonekana wana majonzi na uoga hili neno la mungu linatakiwa kukuempower sasa umetoka kubeba box limekutia stress ukija na huku neno la mungu likukutisha tutakimbilia wapi tena sisi wanadamu?

Anonymous said...

They are worshipping God, you must be humble if you wanna worship in spirit and truth..... I would advise you get to know God , then you will understand what exactly these people are doing, you know spiritual stuff sometimes looks crazy if you are not operating in spirit.