ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 13, 2013

VIDEO : DEMU WA KIZUNGU NUSURA AMCHAPE HEMED PHD BAADA YA KUMPULIZIA PERFUME BILCANAS


Ni usiku wa jana wakati PHD akizindua wimbo wake wa Rest of my life ambapo hit maker huyo wa Mama kimbo aliingia kwa stayle ya kuspray perfume kwa fans wake na kwa bahati isiyo nzuri kwa PHD alispray perfume kwa mwanadada wa kitasha aliyekuwa akishout kwa kumwita hemed on stage na Hemed alikosea kwa kudhani kuwa mwanadada naye anataka apigwe unyunyu na hiyo ikawa ndiyo mistake kwa mkari huyo wa music na bongo movie kumbe bi dada alimaindi na alisubili mpaka hemed alipomaliza kufanya yake on stage alimfata backstage na kumsemea mbovu kuhusu kitendo alichokifanya onstage.tizama video hapo juu jinsi mwanadada alivyokuwa akimkoromea PHD

4 comments:

Anonymous said...

Hakuna mzungu hapo. Mwarabu koko tu!! Umeni spray! Umenispray!

Anonymous said...

Bongo tambarare. Demu wa kibongo angejiona ana bahati kupuliziwa spay na PhD. Inawezekana demu ndo angeomba samahani.

Anonymous said...

Bongo ustarabu mdogo sana. Mwanaume anapulizia spray mwanamke ambaye hata hamfahamu. Labda hiyo ndiyo staili mpya ya kutongoza

Anonymous said...

Being a celebriry he should know about etiquette. Shame on him.