Naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa aliyemaliza muda wake Dk. Asha Roze Migiro amesema vifo vya mama na mtoto hapa nchini vinazuilika endapo watu wote yakiwemo mashirika yasiyokuwa ya kiserikali, sekta binafsi na mtu mmoja mmoja wataunganisha nguvu na kumpa mama mjamzito kipaumbele huku akieleza kusikitishwa na hali ya vifo vinavyotokana na uzazi.
1 comment:
I love this lady so much. na huyo hapo nyuma ni body guard wake ama?
Post a Comment