Picha tatu za juu ni Columbus Circle New York city pakiwa busy watu wakienjoy summer weather
Pichani juu na chini: Khadija Nyang'anyi akiwa New York City kwa weekend hapa akiwa nyumbani kwa Ebra Ny, alivyoenda kumsalimia.
Ebra Ny akiwa katika kiwanda cha kutengeneza chupa huko Brooklyn NY.
Hiki ni chungu cha moto cha kuyeyushia material ya kutengeneza chupa
Mtaalam wa kutengeneza chupa akiwa kazini kiwandani hapo
1 comment:
haya yaha tena bro ibra kama kazi haya haya usilaze damu baby boy
Post a Comment