ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 22, 2013

KOFFI OLOMIDE 'MOPAO' APATA AJALI

Mopao Mokonzi alipata ajali jana (21 june)  akiwa ndani ya gariyake akienda kupiga concert huko sehemu za Mbanza Ngungu @René, Congo. Ila yupo salama
 Inasemekana chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa nguli huyo wa miondoko ya kicongo.

No comments: