Msanii wa kundi la THT Barnabas Elias maarufu Barnaba amefiwa na mama yake mzazi alfajiri ya leo jumamosi Nyumbani kwake Jijini Dar es salaam,
Mama mzazi wa msanii huyo alifariki kutokana na Presha.
Tunawapa pole Ndugu na Jamaa wa karibu wa familia ya Barnaba katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mpendwa wao
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMENI

No comments:
Post a Comment